MCL MATUKIO: MV NYERERE YAFIKA UFUKWENI, MOTO WATEKETEZA MADUKA 1000, PARTY YA WEMA BALAA

MCL MATUKIO: MV NYERERE YAFIKA UFUKWENI, MOTO WATEKETEZA MADUKA 1000, PARTY YA WEMA BALAA

zkA3hdKivuko cha Mv Nyerere kimevutwa karibu kabisa na ufukwe wa Ziwa Victoria katika kijiji cha Bwisya kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe.
Moto usiojulikana chanzo chake umeteketeza soko la Mlango Mmoja na kusababisha hasara.
Mbunge wa jimbo la serengeti Marwa Ryoba kupitia chama cha demokrasia na maendeleo – chadema amejivua uanachama wa chama hicho pamoja na nyadhifa zake ndani ya chama hicho.
Malkia wa filamu, Wema Sepetu amefanya kufuru katika maandalizi ya sherehe yake ya kuzaliwa kwa kutumia gharama kubwa kwa ajili ya mapambo.