MCL MATUKIO: MV NYERERE YAFIKA UFUKWENI, MOTO WATEKETEZA MADUKA 1000, PARTY YA WEMA BALAA
29 septembre 2018
MCL MATUKIO: MV NYERERE YAFIKA UFUKWENI, MOTO WATEKETEZA MADUKA 1000, PARTY YA WEMA BALAA

Moto usiojulikana chanzo chake umeteketeza soko la Mlango Mmoja na kusababisha hasara.
Mbunge wa jimbo la serengeti Marwa Ryoba kupitia chama cha demokrasia na maendeleo – chadema amejivua uanachama wa chama hicho pamoja na nyadhifa zake ndani ya chama hicho.
Malkia wa filamu, Wema Sepetu amefanya kufuru katika maandalizi ya sherehe yake ya kuzaliwa kwa kutumia gharama kubwa kwa ajili ya mapambo.